Mahojiano

Kutana na rapa kibonge mwenye kipaji cha hali ya juu, Nilikuwa na kilo 150 sijataka kufanya muziki bali muziki umetaka niufanye (+ Video)

Leo siku ya Ijumaa ni maalumu kwa Upcoming Artist kupitia kipindi cha #RECAP NA MANDO ON FRIDAY chini ya @el_mando_tz na leo amepata nafasi G rell. @grellgotwings ameonyesha kipaji kikubwa sana cha kuchana na kupa credit mtangazaji wa #EFM @jonijooo kuwa alimshika mkono sana.

Pia @grellgotwings amewashauri wasanii wakubwa Tanzania kutotengeneza makundi kwa wasanii wachanga ili wapate nafasi na sio ionekane kuwa wako upande wa mtu fulani.

Msikilize kwa makini madini anayotoa na sikiliza mistari kwa makini halafu tuambie unampa asilimia ngapi kati ya 10/10 ? Dondosha comment yako hapa chini na tuambie Ijumaa ijayo nani apewe nafasi ambaye unamfahamu aidha ni kitaani kwako.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents