BurudaniVideos

Kutana na wasanii wa Uholanzi (Mae Music) wanaofanya Bongo Flava

Martha na Emmy ni wasanii wanaounda kundi liitwalo Mae Music. Wamezaliwa Uholanzi lakini Martha ni mchanganyiko huku baba yake akitokea Tanzania. Hivi karibuni walikuwa Tanzania kimuziki na walifanikiwa kuachia wimbo wao waliomshirikisha Barakah The Prince.

Waimbaji hao wamekuwa karibu na Dully Sykes ambaye amekuwa akisimamia na kutayarisha nyimbo zao. Tazama interview niliyofanya nao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents