Habari

Kwa uwezo wa Mungu nitavuka kipindi hiki kigumu – Ommy Dimpoz

Kwa uwezo wa Mungu nitavuka kipindi hiki kigumu - Ommy Dimpoz

Baada ya dua nyingi kutoka kwa wasanii ndugu jamaa na marafiki wa Msanii Omary Nyembo alimaarufu Ommy Dimpoz,ambaye yuko nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya matibabu,juma pili hii ametoa taarifa juu ya hali yake ya kiafya.

Msanii huyo ameamua kutoa taarifa kupitia Insta story yake kwa kile kilichopelekea mashabiki na watu wote kutaka kujua maendeleo ya kipenzi chao Ommy Dimpoz kwani zilisambaa taarifa kuwa yuko mahututi na yupo kwenye chumba maalumu cha (ICU).

Kabla ya msanii huyu kutoa taarifa hizo msanii mwingine ambaye ni rafiki wa karibu wa Omary,Wema Sepetu aliandika kwenye akaunti yake ya Instagram kuwa ameongea na Omary na yuko salama.

Hizi ndio taarifa hizo;-

 

 

Related Articles

23 Comments

  1. Huyu jamaa huwa simwelew jinga hili kipind tunapatwa msiba wa ngwea alitoa maneno ya shobo sana huyu sitasahau mimi wewe hata ukifa sawa tuu sisi hatujakuulza wamekufa wangp?? Nahat mimi nitakufa so ww kufaaa tuu

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents