Burudani
Lady Jaydee, Juliana na Zahara waeleza namna walivyojipanga ‘Vocals Night’ (Video)
Muimbaji Lady Jaydeee, Juliana pamoja Zahara waweka wazi mbele ya waandishi wa habari silaha zao za maangamizi usiku wa Vocals Night Ijumaa hii Mlimani Cty Dar es salaam.