Burudani
Lavalava adai yeye sio mtu wa totozi ‘hatuwezi fanana tabia wasanii wote WCB’
Msanii wa muziki kutoka WCB, Lavalava amesema yeye sio mtu wa kuonyesha wazi mahusiano yake na warembo wake kwa madai sio mtu wa namna hiyo.