Burudani

Lavalava: Leo ni birthday yangu naitumia kumuombea hayati Magufuli

Kupitia Instagrma yake msanii huyo wa WCB ameandika kuwa :-

“Happy birthday To Me. Ahsante Mungu leo ni siku yangu ya kuzaliwa, nakushuru maana Kufika siku ya leo si kwa mabavu yangu bali ni kwa uwezo wako. Niseme tu nitaitumia siku yangu ya leo kumuombea aliyekuwa Rais wetu hayati Dr. JOHN POMBE MAGUFULI #Maombolezo Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi #sitasherehekea. Ahsante nawashukuru wote Mlioniwish na kunitakia kheri🙏🏼🙏🏼🙏🏼”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents