Mahojiano

Lil Ommy aeleza utaratibu atakaotumia kufanya mahojiano na Alikiba, Harmonize na Ommy Dimpoz Wasafi – Video

Mtangazaji wa Wasafi Fm Lil Ommy amefunguka mengi sana kuhusu maisha yake wakati yupo nje ya Wasafi na sasa akiwa Wasafi.

Mbali na hilo pia amezungumzia mazingira mapya ya kazi na kutokana na mpishano wa kibiashara huenda atakosa baadhi ya Interview za wasanii kadhaa ambao hawana maelewano na wasafi Lil Ommy alitoa majibu haya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents