Burudani

Linah Afanya Mahojiano na Sporah Show UK

Diva wa kike Linah Sanga ambaye kwa sasa yupo nchini Uingereza leo amefanya mahojiano katika kipindi pendwa cha TV kwa wana Afrika Mashariki waishio nje ya nchi “The Sporah Show” ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa uwepo wake katika nchi ya hiyo kabla ya shoo zinazotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii.

Linah anategemewa kufanya shoo yake ya kwanza siku ya Ijumaa ya tarehe 7 katika ukumbi wa Palms Bar jijini Coventry na shoo yake ya pili itakuwa siku ya Jumamosi tarehe 8 ya mwezi huu wa tisa katika ukumbi wa Solar Club Barking jijini London.
Hizi ni picha tulizozipata kwa hisani ya Sporah.com

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents