Burudani

‘Touch Me’ ya AY f/ Sean Kingston yaingia kwenye chart za Jamaica

Wimbo wa AY ‘Touch Me’ aliowashirikisha Sean Kingston na Ms Trinity umeingia kwenye chart za nchini Jamaica.

11700848_10153020040938379_1266096277668272038_n

Wimbo huo ambao video yake ilifanyika nchini Marekani imekamata nafasi ya 10 kwenye chart ya Pree Dis Top Ten.

https://www.youtube.com/watch?v=uq6fKr6Bipw

Chart hiyo ni sehemu ya kipindi cha PreeDis ambacho huangaza mambo mbalimbali ya burudani, fashion na lifestyle kwenye visiwa vya Caribbean!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents