Habari

Lugha ya Kiswahili yapitishwa kuwa lugha rasmi ya Afrika Mashariki

Bunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki.
_90958604_eac_512x288_bbc

Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen, limeripoti kuwa wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa yakisubiriwa sana kwa kuwa lugha hiyo imechukua jukumu kubwa la kuwaunganisha wakaazi wa Afrika Mashariki.

Hatua inayofuata ni kwamba mkataba wa EAC utalazimika kufanyiwa marekebisho .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents