Habari

Lushoto: Mvua kubwa zinazonyesha Milima ya Usambara zaleta maafa (+Video)

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kwenye milima ya Usambara wilayani Lushoto zimesababisha mafuriko katika tarafa ya Mlalo eneo la Mkongoloni na kuharibu barabara, mazao, mifugo na nyumba kujaa maji.

DC wa Lushoto, January Lugangika amesema wanafanya tathmini zaidi ya madhara hayo na watatoa taarifa ya kina baadaye.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents