Habari

Mabasi ya mwendokasi yameanza kutoa huduma Morroco – Kawe Dar Es Salaam

Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es salaam (DART) imetangaza route mpya ya Mabasi ya mwendokasi yameanza kutoa huduma Morroco – Kawe kupitia Barabara ya Mwai Kibaki. Hii ni njia ya tatu kwa mabasi hayo kuanza kutoa huduma kwa siku za hivi karibuni baada ya Shekilango – Mwenge (via Barabara ya Shekilango) na Morroco – Mwenge (via Barabara ya Bagamoyo).

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents