Michezo

Simba yaahirisha tukio la uzinduzi wa jezi, matukio yote yatafanyika wiki ya Simba

Klabu ya @simbasctanzania imetoa taarifa kuwa imeahirisha hafla yao ya uzinduzi wa jezi za msimu wa 2021/22 iliyokuwa ufanyike leo. Klabu hiyo imeeleza kuwa matukio yote ya sherehe yatafanyika Wiki ya Simba itakayoanza Septemba 13 hadi Septemba 19 mwaka huu.

Ikumbukwe kuwa siku ya jana tarehe 3/9/2021 ndio walizindua jezi zao rasmi na tayari zinapatikana madukani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents