Mahojiano

Madam Rita wa BSS afunguka kuhusu kumpendelea Hamisi “Simpendelei ila mimi nina hisia sana” – Video

Madam Rita wa BSS afunguka kuhusu kumpendelea Hamisi "Simpendelei ila mimi nina hisia sana" - Video

Jaji mkuu wa shindano la BONGO STAR SEARCH Madam Rita ameweka wazi kuhusiana na kile kinachodaiwa kuwa na upendeleo na baadhi ya washiriki wa shindano la BSS kitu ambacho kinaweza kuchangia kuleta kutokuelewana kwa baadhi ya washiriki na kueleza kwamba sio upendeleo bali ni hisia (Emotion) kwa baadhi ya washiriki kitu ambacho kazaliwa nacho.

Mbali Madam Rita ameeleza kufurahishwa kwa shindano la nwaka huu kuwa na vijana wenye vipaji zaidi mashindano mengine ya BSS ambayo yameshawahi kufanyika.

https://www.youtube.com/watch?v=dimT5D6SwEY

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents