BurudaniVideos

Made Ice Ochu ndani ya video ya Nisikilize

Ochu_Sheggy_face

Mwanamuziki Ochu Sheggy amemaliza video yake ya Nisikilize  akiwa na Made Ice. Video ya wimbo huo amefanya chini ya  stiudio ya Empysoulz Production. alisema video hiyo tayari ameshaanza kuisambaza kwenye vituo mbalimbali vya televisheni.

Video imetengenezwa na  mtu mzima Solomon Lamba, wakati wimbo umegongwa na Mr T wa Seductive pacha wa Emptysoulz Production. Meneja wa studio hiyo wamesema kwa sasa wanapokea kazi kwa wingi, pia wanaruhusu kuwasiliana nao kwa namba 0713621454

Ochu_Sheggy_Made_Ice

Ochu_Sheggy_set_up

Ochu_Sheggy_suti

Ochu_Sheggy_video

Video ya Ochu na Made Ice

{hwdvs-player}id=1649|width=560|height=340{/hwdvs-player}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents