Mamamia Moven Pick
Mbunifu wa mavazi ya akina mama, Mustapha Hassanal, juzi aliamua kulitambulisha rasmi tamasha la mavazi la Mamamia katika ukumbi wa Moven Pick ili kuchangia wakina mama wajawazito katika uzazi salama kwa kutimiza miaka 100 Duniani. Alisema Hari ya kujifungua imekuwa mtihani mkubwa, kwa akina mama wengi kwani hufikia kipindi mpaka kuweka nadhiri na kuomba miungu yote ilimradi wajifungue salama. Alisema si jambo baya kwa kuomba namba hiyo, lakini kutokana na hari hatari wanayokumbana
ndiyo inawafanye wawe waoga katika kujifungua, wakati jambo hilo ni rahisi endapo wakipatiwa msaada wa vifaa vya kisasa. Pia liaongezea kwa kusema aliamua kusaidia kutokana aliwahi kuwa katika kitengo hicho cha kuwasaidia wajawazito wakati anafanya kazi za hospitali, hivyo anajua maumivu na tabu wanazozipata.
Watu walioudhulia wakipata buludani toka katika kikundi kimoja cha ngoma za asili kutoka Zanzibar.
Stara Thomas akiimba na mama mjamzito, katika tamasha la mavazi lilopewa jina la Mamamia Fasion, na Hassanali
{hwdvideoshare}id=1472|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}
{hwdvideoshare}id=1473|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}
{hwdvideoshare}id=1474|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}