Burudani
MC Pilipili adai show yake ya kwanza Marekani amelipwa tsh milioni 22
Mchekeshaji MC Pilipili amefunguka kwa kueleza viwango anavyotoza Ili aweze kufanya show huku akidai show yake ambayo alilipwa pesa nyingi kuliko zote ni ile aliyofanya nchini Marekani hivi karibuni ambapo alilipwa dola 10,000