Burudani

Mfahamu msanii wa kike anayeweza kupodoa uso wake kufanana na mtu yeyote duniani (+Video)

Ebube Jane Richard mwenye umri wa miaka ishirini na tatu ni msanii wa Nigeria anayebadilisha uso wake kwa kuupodoa ili kufanana na watu mashuhuri. Upodozi wa uso wake na kuufanya kufanana na Chadwick Boseman kufuatia kifo chake mnamo Agosti iisambaa nchini Nigeria.

https://www.instagram.com/tv/CGUHGS4BnR5/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents