Burudani

Mimi Mars avunja ukimya

“Leo nimeamua nitume meseji hii kwenu muone kwamba Mimi Mars yupo anazidi kupona na anazidi kufanya bora zaidi lakini kikubwa zaidi nawashukuru sana sana sana kwa maombi yenu na support yenu katika kipindi hiki ambacho nimekuwa nikipitia matibabu na pia kupona taratibu, nashukuru kwamba hata nimepata nguvu ya kufanya hili leo na hii inaonesha kwamba narudi vizuri kabisa na nipo tayari kufanya kazi” ——— Mimi Mars. “Hii inaonesha kwamba ninarudi kivizuri kabisa na niko tayari kuanza kazi, tukae karibu na page yangu ili tuweze kuona mambo mazuri.

wale waliozoea kuniona kwenye TV, waliozoea kuniona kwenye stage, waliozoea kuniona kwenye shows hata kwa kutangaza brands nyingine, kwa kufupi kazi imerudi…. pls subscribe and love my stuff, nawapenda sana Mars hearts na Mungu awabariki mno” Hayo ni maneno kutoka kwenye post ya kwanza ya Mimi Mars.

baada ya ukimya wa zaidi ya siku 80 uliotokana na ajali mbaya ya gari iliyosababisha kulazwa Hospitali na baadae kuwa chini ya uangalizi maalum nyumbani.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents