Miss Moro 2009
Miss Morogoro 2009 Tory Oscar akiwa katika picha ya pamoja na warembo
wenzake, mara baada ya kushinda taji la mji huo kasoro bahari kulia ni
mshindi wa pili Mariam Didi na kushoto ni msindi wa tatu Shekha
Washokera.
Shindano hilo lilifanyika Ijuma iliopita katika Hoteli ya Masuka na
washindi hao watawakilisha mkoa wa Morogoro katika shindano la kanda ya
Mashariki.