Mkongwe Bob Haisa arudi an ngoma mpya ‘My Valentine’ (+ Video)

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Bob Haisa ameamua kurudi upya kwenye muziki wa Bongo Fleva na kuja na ngoma ya #MyValentine.

Akiongea na Bongofive Bob Haisa ameeleza dhumuni la kuja na ngoma ya My Valentine ambayo inahusu siku ya wapendanao.

Msikilize Bob haisa halafu tuambie je Sauti yake bado ipo au afanye mambo mengine aachane na muziki ?

Related Articles

Back to top button
Close