Burudani

Mkubwa na wanawe kuja na ‘Nibemende’

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yao Ya Moto, hivi karibuni Mkubwa na Wanawe wanarajia kuachia ngoma nyingine mpya waliyofanya napProducer Shirko katika studio za Mkubwa na Wanawe. Ngoma hiyo inaitwa ‘Nibemende’.

C

Akiongea na Bongo5, Said Fela pia amempongeza kijana wake Aslay kwa kuzaliwa siku ya leo nakumtakia kila lakheri na endelee kufanya kazi kwa nguvu na azidi kuwa na nidhamu ya kazi itakayomfanya afike mbali kumuziki.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents