HabariMichezo

Morrison akosekana safari ya Tunisia (+Video)

Winga wa Klabu ya Yanga, Bernard Morrison hatakuwepo kwenye msafara wa timu hiyo unaondoka leo Februari 7, 2023 kuelekea nchini Tunisia kwaajili ya mchezo wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika kutokana na kusumbuliwa na majeraha.

Msemaji wa Klabu ya Young Africans, Ali Kamwe amethibitisha kukosekana kwa Mghana huyo na kutolea ufafanuzi swala hilo

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents