HabariMichezo

Yanga vs Monastir uwanja wabadilishwa Tunisia (+Video)

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe amefunguka kuhusu mchezo wao dhidi ya Monastir kuhamishiwa kwenye Uwanja wa Stade Olympique de Radès.

Yanga inaukumbuka uwanja huo kwani ndiyo uliyowapa nafasi ya kushiriki hatua ya Makundi ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAF baada ya kuifunga Club Africain goli pekee la Aziz Ki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents