Promotion

MSHINDI WA MIL 100 WA PROMOSHENI YA VODACOM MAHELA AFUNGUA AKAUNTI NMB

Benki ya NMB imemkaribisha mshindi wa milioni 100 wa Vodacom MAHELA , Bwana Valerian Nickodemus kwa kumfungulia akaunti na kujitolea kumpa mafunzo ya ujasiriamali na matumizi sahihi ya fedha ili kumwezesha kuwa na matumizi yenye tija katika maisha yake.

IMG_6038

Mshindi wa shilingi Milioni 100 katika promosheni ya Vodacom MAHELA, Bw. Valerian Nickodemus (kati) akifurahi pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) na Mkuu wa chapa na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twisa baada ya kukabidhiwa fedha hizo.

DSC_0942
Mshindi wa shilingi Milioni 100 katika promosheni ya Vodacom MAHELA, Bw. Valerian Nickodemus (kati) akikabidhiwa kadi yake ya NMB ATM na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB, Abdulmajid Nsekela (kulia) baada ya kufungua akaunti katika benki ya NMB. Akishuhudia ni Mkuu wa Chapa na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa.

DSC_0947.JPG (1)
Mshindi wa shilingi Milioni 100 katika promosheni ya Vodacom MAHELA, Bw. Valerian Nickodemus(kati) akimshukuru Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB, Abdulmajid Nsekela (kulia) baada ya kukabidhiwa kadi yake ya NMB ATM, akishuhudia ni Mkuu wa Chapa na Mawasiliano wa Vodacom Kelvin Twissa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents