Burudani

Mshindi wa #TecnoOwntheStage kujishindia shilingi milioni 55 na zawadi zingine kibao

Mshindi wa shindano la kusaka vipaji kwa kuimba nyimbo za karaoke, Tecno Own The Stage Show ataenda nyumbani na kitita cha $25,000 ambacho ni zaidi ya shilingi milioni 55.

Tcno

Shindano hilo linaloendelea, linahusisha washiriki kutoka Tanzania, Kenya na Nigeria.

Pamoja na kiasi hicho cha fedha, mshindi atarekodi wimbo na jaji/mwalimu wake pamoja na kufanyika video kubwa.

Pia ataungana na msanii maarufu miongoni maw majaji wa shindano hilo kwenye show zake. Atazawadiwa pia simu mpya ya 
Tecno Phantom 5.

Mshindi wa pili atashinda $15,000 na wa pili $10,000.

Show hiyo hurushwa kila Jumapili saa tatu siku saa za Afrika Mashariki kupitia Africa Magic Showcase na kurudiwa kwenye Maisha Magic Bongo na East Jumanne usiku.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents