Burudani

Album ya Adele ‘25’ yauza zaidi ya nakala milioni 5 wiki ya tatu

Album ya Adele ‘25’ inaendelea kununuliwa kwa kasi, mpaka sasa imeuza zaidi ya nakala milioni 5 Marekani kwenye wiki ya tatu.

Adele 25

Katika wiki mbili za kwanza ‘25’ iliuza nakala milioni 4.49, na inakadiriwa imeuza nakala 510,000 katika wiki ya tatu ya mauzo hivyo kufanya mauzo ya jumla kufikia zaidi ya milioni 5.

Wataalam wanabashiri kuwa hadi kumalizika kwa wiki ya tatu inaweza kuwa imeuza nakala 650,000 kwa wiki hii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents