Bongo Movie

Msituchukulie poa, akaunti zetu za benki zipo vizuri- JB

Mwigizaji huyo mkongwe ameyasema hayo Jumanne hii akiwa Brake Point Kinondoni jijini Dar es salaam wakati wasanii wa BongoMovie wakizindua kampeni ya kuwahamasisha vijana kuacha kukaa vijiweni na kuanza kufanya kazi. Kampeni hiyo itafanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi hii huko mkoani Iringa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents