MUSIC AUDIO: Cydinho Ft. Lovely – SALIO

 

Msanii wa muziki wa Singeli anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya muziki Tanzania, @cydinho_official anakukaribisha usikilize ngoma yake mpya ya ‘SALIO’ ambayo ambayo amemshirikisha @lovelly_baby .

Ngoma imetengenezwa na Producer @eyoo_kenny, Unaweza pia kuisikiliza kwa kubofya link kwenye Bio ya @cydinho_official Instagram, Au bofya link hapo chini kuisikiliza

Related Articles

Back to top button