BurudaniHabari

MUSIC AUDIO: H Girl Baby Awe

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, H Girl Baby ameachia audio ya wimbo wake mpya wa ‘AWE’ na anakualika kuusikiliza wimbo huo kwa kubofya link hapa chini;

Producer wa ngoma hii ni @salu_beats & @producer_naroh na unaweza kuisikiliza zaidi kwa kubofya link kwenye Bio yake kule Instagram anatumia @hgirlbaby.

#bongo5updates #bongofleva

Related Articles

Back to top button