Muziki
MUSIC VIDEO: Cydinho – Dundo
Msanii wa muziki wa Singeli anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya muziki Tanzania, @cydinho_official anakukaribisha kutazama video ya ngoma yake mpya ya DUNDO.
Ngoma imetengenezwa na Producer @eyoo_kenny huku video ikiongozwa na Director @daxvigoma.
Unaweza pia kuitazama video yote kwa kubofya link kwenye Bio ya @cydinho_official instagram, Au bofya link hapo chini.