BurudaniHabari

MUSIC VIDEO: Mandi Classic – Happy Birthday

Mandi Classic ni moja kati ya wasanii wachanga wa Muziki wa Bongo Fleva wanaokuja kwa kasi kwenye Gemu hapa Tanzania, Leo ameachia video ya kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘HAPPY BIRTHDAY’ na anakualika ukatazame kazi hiyo ambayo mwenyewe amesema ni kazi iliyobeba jina la album yake mpya ya ‘Happy Birthday The Album”.

Bofya link hapa chini kutazama video hiyo, iliyoongozwa na Director Happy Pro huku Mdundo ukigongwa na Producer KZ On The Beat, Enjoy.

Baada ya kutazama video usisahau kuacha comment yako na ku-subscribe Chaneli yake ya YouTube ili uweze kusikiliza kazi zake zingine zilizopo kwenye Album yake, Au unaweza kubofya link iliyopo kwenye Bio yake Instagram @mandi_classic .

Related Articles

Back to top button