BurudaniVideos

MUSIC VIDEO: Mauah Ft. Tony255 – Nampa hapa

Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Fleva, Mauah anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya wa ‘NAMPA HAPA’.

Kwenye wimbo huu kamshirikisha Tony255, Bofya link hapa chini kutazama wimbo huo pia usisahau ku-subscribe kabisa kwenye YouTube Channel yake ili usipitwe na kazi zake nyingine.

Director wa video hii ni Mwakisongo na Producer aliyefanikisha mdundo huu ni Mo Fire.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents