Videos
MUZIKI: Harmonize aachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Atarudi’, kichupa kimefanyika nchini Nigeria
Harmonize kutoka WCB ameachia video ya wimbo wake mpya wa Atarudi, kichupa cha vwimbo huu kimeongozwa na Zoom Production na asilimia 100 location yake imefanyika Nigeria.
Pw
Wcb
So emotional
Kall kishenzii
Waoo! whata conde boy
Uyo dogo nouma sana ukiangalia jicho la 3
diamond ukijichanganya tu kijana kakupiga ngumi,omba sana asikuponyoke km richard
Ata wakisepa wote diamond is diamond,,,,
kichwa kitamuuma maana wana fanana style hao
Very nice
konde boy
Fanya u fanyalo lakin sikio alita zidi kichwa kamwe
G
kwa picture tu inatisha
Nice song.#BIGUP KONDE BOY
Hakuna nyimbo humo
Hamna kitu
🔥🔥🔥🔥