Burudani

Mwana FA alivyofunguka baada ya kuchukua fomu ya Ubunge Muheza (Video)

Msanii wa muziki wa hip hop @mwanafa baada ya kuchukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Muheza amezungumza machache na wananchi ambao walijitokeza kwa wingi kumsindikiza. Katika mazungumzo yake rapa huyo ameshangaa tatizo la maji katika jimbo hilo kudumu kwa miaka 20 bila ufumbuzi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents