Burudani

Mwana FA atease ‘harusi yangu..coming soon’

Hamis Mwinjuma aka Mwana FA ama Baba Malika, anaelekea kulegeza msimamo wake wa kuendelea kuwepo kuwepo.

IMG_1042 (800x534)

Hitmaker huyo wa Kama Zamani, ametoa hint ya uwezekano wa kuisaliti kambi ya Makapera, aliposhare picha kwenye Instagram aliyopiga baada ya kuhudhuria harusi moja na kusema yake inakuja siku si nyingi.

“Kwy kushadadia harusi ya Muhaji last weekend…goodluck nephew…yangu coming soon,” aliandika.

fa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents