BurudaniVideos

My next project is a game changer – Vanessa Mdee (Video)

“What next is something very big,” ni jibu la Vanessa Mdee nilipomuuliza ni kitu gani kinafuata baada ya Niroge.

“Ni kitu ambacho naamini kitabadilisha kidogo uwepo wangu kwenye game, I am very confident nikisema hivyo,” ameongeza.

“It’s a different me, and I am nervous but excited. Nashukuru watanzania siku hizi wamekuwa wepesi wa kuupokea muziki pia. Unaweza ukawapa kitu ambacho kipo tofauti na walivyozoea lakini wakakipokea so that’s a very good thing.”

“But I am so happy leo hii I can speak of watu hawa ambao nilikuwa nawatizama na waadmire kwenye muziki na wananiona kama mimi ni mwenzao. Don Jazzy ananiuliza mawazo yangu mimi? So it’s all this things ambazo zimebadilika kwahiyo even my mindset is different so I hope that I am good representation for Tanzanian women in the industry, so big things are coming,” amesisitiza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents