Habari

Mzee Butiku amtaka Rais Magufuli kutosikiliza maneno ya ovyo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwl Julius Nyerere na amemuasa kusikiliza maneno mazuri yanayozungumzwa nje na ndani ya nchi huku akimsisitiza kutosikiliza maneno ya ovyo.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents