HabariMichezo

Nabi amshukuru Rais Samia (+Video)

Kocha wa Klabu ya @yangasc Nasreddine Nabi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba yake na benchi zima la ufundi kwa salamu za pongezi baada ya kushinda dhidi ya Zalan FC goli 5-0 (Agg 9-0) na kusonga mbele kwenye michuano hiyo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents