Kocha Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa Kocha Mkuu, Nabi ataukosa mchezo na TP Mazembe
“Kocha mkuu Nasreddine Nabi ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Mazembe kwa sababu za Kifamilia. Mchezo huu ni muhimu sana kwetu kwa sababu malengo yetu ni kuwa vinara kwenye hatua hii ya Makundi” @officialcedrickaze