Habari

Steve Nyerere mbele ya Mitume na Manabii kwa mualiko wa Lusekelo Mzee wa Upako (Video)

 

Msanii wa filamu @stevenyerere2 alipata nafasi ya kuzungumza mbele ya mkutano wa Mitume na Manabii uliofanyika Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam na kuhudhuriwa viongozi wengi wa dini.

Msaani huyo alialikwa na Mzee wa Upako, Lusekelo ambapo mkutano huo ulitumika viongozi wa dini kukanyana mambo mbalimbali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents