Habari

Lusekelo Mzee wa Upako akoshwa na Steve Nyerere (Video)

“Nampenda sana, ni msaada kwa wengi”

 

Mzee wa Upako Lusekelo amedai @stevenyerere2 amekuwa kimbilio la wengi na amekuwa na moyo wakusaidia watu mbalimbali na hata anapokosea yupo tayari kujishusha.

Kuhusu kauli za muigizaji huyo kuhusu watumishi wa Mungu, Mzee wa Upako amedai msanii huyo ameweza kuwasilisha maoni ya watu mtandaoni jinsi wanavyowachukulia viongozi wa dini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents