Nasma Khamis Afariki Dunia

Nasma Khamis Afariki Dunia
Mwimbaji mahiri na aliyewahi kutamba sana kwenye anga ya muziki wa taarabu hapa nchini, Bibie Nasma Khamis wa Kidogo (shoto pichani) amefariki dunia usiku wa kumkia leo.

Nasma Khamis ‘Kidogo’ (shoto) enzi za uhai wake na Bi Khadija Omar Kopa
wakila pozi pamoja. Malkia hawa wa taarab ya kisasa inayonakshiwa kwa
mipasho, walikuwa ni wahasimu wakubwa jukwaani na marafiki wa karibu
mitaani.

kama wewe ni mshabiki wake mkubwa jamaa au rafiki mazishi ya mama yetu Nasma yatafanyika kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Kinondoni na msiba kwa sasa upo Kinondoni karibu na shule ya msingi juhudi. NAWAPA POLE WOTE NA HUU NI MSIBA WETU WOTE, FAHAMU KUWA NASI TUFATA KWAHIYO TUMUOMBEE MUNGU.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents