Burudani
New Music: Fat Joe f/ Jennifer Lopez – Stressin
Ni karibu muongo mmoja sasa tangu washirikiane kwenye ‘Hold You Down’ na sasa Fat Joe na Jennifer Lopez wamekutana tena kwenye ‘Stressin’. Mastaa hao kutoka Bronx wameshirikiana kwenye ngoma hii iliyotayarishwa na Rico Love.