BurudaniVideos

New Release kutoka kwa Mr Chocolate-Nanii

Bab_Junior_staili

Mwanamuziki na mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya Bob JuniorĀ  ukipenda muite Mr Chocolate Flevour kutoka Sharobaro RecordĀ  ameachia video ya wimbo wake wa Nanii. Wimbo huo umefanya vizuri katika Audio na sasa kitu hicho kipo kwenye chupa.

 

 

Nanii-Bob Junior

{hwdvs-player}id=1653|width=560|height=340{/hwdvs-player}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents