Videos

New Video: DJ Spinall ft. Ycee – On A Low

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, DJ Spinall ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘On A Low’ aliyomshirikisha Ycee, ngoma hiyo inatoka katika albamu yake ya ‘Dreams’. Video ya ngoma hiyo imeongozwa na HG2 Films.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents