Videos
New Video: French Montana f/ Drake – No Shopping
Baada ya kuachia wimbo wake mpya ‘No Shopping’ siku chache zilizopita rapper wa Marekani mwenye asili ya nchi ya Morocco, French Montana ameachia video ya wimbo wake huo alomshirikisha Drake. Check video hapa chini.