HabariVideos

Ng’ombe 100 wa familia moja wafa kwa sumu iliyotegwa na watu wasiojulikana (Video)

Familia ambayo ng’ombe wake zaidi ya 100 wamekufa kwa sumu huko mkoani Tanga imeingiwa na hofi ya madhara ya sumu hiyo kwa ng’ombe ambao wamebakia.

Familia hiyo ya Mzee Kunguni imedai ingawa serikali inaendelea na uchunguzi juu ya tukio hio, Wanaomba wadau wa afya kufanya uchunguzi juu ya aina sumu hiyo pamoja na madhara yake kwa binadamu itokea watu wakitaka kutumia nyama pamoja na maziwa.

Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents