Picha

Ni kweli Kim Kardashian ameidiss Nigeria kwenye Twitter? eti ‘wanawake wa huko wanafanana na sokwe’

Kim Kardashian kweli? Ni kweli kaitukana Nigeria kiasi hiki? Tweet yake inayodaiwa aliiandika jana imeleta shida kubwa kwa wananchi wa Nigeria na Afrika kwa ujumla baada ya kutweet:

wenn3281680

kim

Si tu alisema Nigeria ni nchi inayokera lakini pia anasema wanawake wake wanafanana na sokwe!!

Hata hivyo Kim amekanusha kuandika tweet hiyo na kusema imetengenezwa. “I see there’s a photo shopped tweet floating around, supposedly something I said about Nigeria. That was NOT me, or my feelings. That fake tweet is very disturbing & I would NEVER EVER tweet something like that.”

Hiyo sio mara ya kwanza msanii wa Marekani kuidiss Afrika. November 21 mwaka jana , Keri Hilson aliingia matatani baada ya kuidiss Ghana:

keri-hilson-africa-tweet

hilson1d710

Naye alikanusha kwa kudai kuwa tweet hiyo ilitengenezwa.

keri-tweet-response

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents