Bongo5 Exclusives

Leo Viagra inatimiza miaka 15, ni miongoni mwa dawa zinazouzwa zaidi duniani

Ni miaka 15 tangu Viagra ama Sildenafil citrate, au Revatio iingie sokoni na kwa muda mfupi tu kuwa dawa inayouzika zaidi duniani.

viagra1

“Viagra was a game-changer,” Dr. Ryan Terlecki, profesa katika hospitali ya Wake Forest Baptist Medical Center huko Winston-Salem, N.C. Marekani ameiambia ABCNEWS.”Ilileta mapinduzi kwenye afya ya mapenzi kwa wanaume na afya yao kwa ujumla.”

Awali Kidonge hicho kidogo cha rangi ya blue kilitengenezwa kutibu tatizo la ‘pulmonary hypertension’ ugonjwa ambao hufanya kifua kibane na mtu kupumua kwa shida. Na sasa wanaume wengi huitumia kuwaongezea nguvu katika mechi zao za kitandani. Tangu miaka 15, Viagra imeshatumika kujaribu kutibu magonjwa kibao na kufanikiwa katika mengi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents